Biashara ya mboga mboga
Hello Tanzania binadamu lazma aishi kwa kutegemea chakula hivi hi ni fursa nzuri ya kujiajiri bila kuwazia mtaji mkubwa sana,kwa kuanza na. Pesa kiasi Kama elfu 50 unaweza kuuza mboga mboga na matunda mtaani kwako au sokoni na kujipatia kipato ambacho kitajizi mahitaji yako na si kulalamika Kama Ajira hakuna we jiajiri mwenyewe.